Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN),
Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000)
jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM kama pole baada ya kupoteza
ndugu sita wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na
kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam. Katikati ni mmoja wa
wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale aliyeshiriki tukio hilo. TBN ilishiriki katika
mazishi ya marehemu hao sita waliozikwa jana katika makaburi ya Airwing Dar es
Salaam. Picha na Francis Dande.
|
No comments:
Post a Comment