Tangazo

February 11, 2015

TANGAZO LA KUPOTELEWA NA MTOTO



DUZE DAVID TUSEKELEGE 

MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE  MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI  MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA MAMA JOHN TANGU TAREHE 04 JANUARY 2015. MTOTO HUYO NI MWEUPE WA KIMO CHA WASTANI, TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KATIKA KITUO  CHA POLISI KILICHO KARIBU. TAARIFA YA POLISI NI RB 71/2015 YA TAREHE 08/01/2015  AU ATUTAARIFU KWA  NAMBA ZA SIMU ZIFUATAZO – 0756 033 340,  0764 504 904 ,  0784 509 808  AU 0719 011 099.

No comments: