Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili
wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya
ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa
ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.
|
No comments:
Post a Comment