Picha ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao kabla ya Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi Oysterbay
Matembezi
Matembezi
Matembezi
Matembezi barabara ya Coco Beach
Matembezi
Baadhi ya washiriki wakipata vinywaji katika moja ya kituo kilicho andaliwa eneo la Morogoro Stoo eneo la Oysterbay wakati walipokua katika matembezi hayo yaliyoanzia viwanja vya Farasi
Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia Dar es Salaa Tanzani wakifuatilia jambo wakati Balozi wa Malaria Tenga alipokuwa akizungumza na washiriki mbalimbali baada ya matembezi hayo katika Maadhimisho ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria Duniani yaliyofanyika Dar es Salaam juzi
Picha ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao wakitowa huduma kwa washiriki kwenye Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira TFF Tenga akizungumza na washiriki mbalimbali baada ya matembezi hayo ya Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira TFF Tenga (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi mbalimbali wa kiwanda cha Bia Dar es Salaam Tanzania katika Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
Meneja Rasilimali watu kiwanda cha Bia Dar es Salaam Emmanuel Christopher ( wakwanza kulia) akimkabidhi Vyandarua 50 kwaniaba ya TBL Balozi wa Kampeni ya Malaria Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira TFF Tenga (wanne kushoto) katika Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi ambapo Dar es Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment