Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, John Michael Haule, wakati
Balozi huyo alipofika Osifini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili
ya kumuaga leo Mei 27 2015. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment