Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza katika maadhimisho ya Uhuru wa habari duniani yaliyofanyika mkoani Morogoro. Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Assah Mwambene akizungumza katika maadhimio hayo. Kaimu Meneja wa Uhuru FM, Angela Akilimali (kulia) pamoja na wadau wa vyombo vya habari katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani. Kutoka kushoto ni Mshauri wa Masuala ya Habari Umoja wa Ulaya, Susane Mbise na Mshauri wa Masuala ya Mawasiliano Umoja wa Mataifa (UN), Hoyce Temu akifuatilia mijadala katika mkutano huo. Mwanahabari na Bloga, Majid Mjengwa akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Mello akizungumza. Meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani.Na Joachim Mushi, Morogoro
May 3, 2015
Umoja wa Ulaya, UN: Tutapigania Uhuru wa Habari Siku Zote

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment