Tangazo

November 2, 2015

HAPPY BIRTH DAY JESTON KIHWELO, MZEE WA KAZI KUTOKA 98.2 KWA NEEMA FM RADIO

Pichani ni Jeston Kihwelo ambae ni Mhariri Mkuu (Mwanahabari na Mtangazaji) wa 98.2 Kwa Neema Fm Radio iliyopo Kiloleli, Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza. 

Tarehe na Mwezi kama wa leo (Novemba 02,2015) ikiwa ni miaka kadhaa iliyopita, Kihwelo aliweza kuzaliwa hivyo leo anasherehekea kuzaliwa kwake.

Na:Binagi Media Group
Akiwa ana-share furaha yake pamoja na sisi katika siku hii, Kihwelo anasema "Hakika Mungu wangu ni wa ajabu sana kwangu, yeye ndiye kila kitu kwangu, siku kama ya leo alijua kuwa Jeston Kihwelo atazaliwa akiwa hana chochote, hiyo ikiwa ni miaka ya 87 na leo ananifikisha nikiwa na miaka ya utu uzima, Nikiwa navyo tele, ahsante Mungu, zidi kuwapa maisha marefu sana wazazi wangu, ahsante Mama, Mungu akubariki.
AMEEN!

Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii inakutakia Maisha Mema
0757432694

No comments: