Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof Lughano Kusiluka akisisitiza jambo kwa wanafunzi chuo hicho kitivo cha Sheria alipowataka kutoa msaada wa kisheria
kwa wananchi mara baada ya uzinduzi wa kituo cha Sheria chuoni hapo
Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mohamed Utaly aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa kituo cha Msaada wa kisheria katika Chuo Kikuu cha Mzumbe,Morogoro akikata utepe ,kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof, Lughano Kusiluka
Mkuu wa kitivo cha Sheria chuo kikuu cha mzumbe Prof, Syriacus Binamungu akimkabizi Vitabu vinavyohusu masula ya Sheria Makamu
Mkuu wa chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof, Lughano Kusiluka.
Mkuu wa wilaya ya
Mvomero Mkoani Morogoro Mohamed Utaly akitoa rai kwa wanafunzi kitizo
cha sheria kuhakikisha wanatoa msaada wa kisheria kwa wananchi bila
malipo kwa kuzingatia kuwa swala walilolianzisha sio la kibiashara kwani
hali za wananchi wanaolengwa ni duni.
No comments:
Post a Comment