Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha TIBA (IMTU), Yeredi Chacha (kushoto) akiongea jijini Dar es Salaam leo katika mkutano wa viongozi wa jumuiya ya wanafunzi wa chuo kikuu cha TIBA (IMTUSO) kuzungumzia matatizo mbalimbali yanayowakabili wanafunzi wa chuoni hapo mbele ya waandishi wa habari. Kulia ni Rais Mstaafu wa chuo hicho, Jonas Mushi. PICHA ZOTE/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO |
1 comment:
serikali ishughulikie tatizo hilo ili chuo kiendelee kusaidia kuongeza idadi ya madaktari nchini.
Post a Comment