Tangazo

August 25, 2011

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa yamuaga Balozi wa Misri

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajab Gamaha (kulia), akikabidhi zawadi ya kinyago kwaBalozi wa Misri aliyemaliza muda wake wa kazi hapa nchini, Wael Adel Nasr, wakati wa hafla fupi ya kumuaga Balozi huyo iliyofanyika katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam jana . PICHA/ROSEMARY MALALE WA WIZARA YA MAMBO YA NJE

No comments: