Tangazo

May 29, 2012

Namanga Sports Club: Baada ya Mazoezi ni Kujipongeza

Siku ya Jumapili Mei 27. 2012 Klabu ya Michezo ya Namanga ilishiriki katika mazoezi ya pamoja ya mbio za pole pole 'jogging' zilizofanyika huko Kawe jijini Dar es Salaam ambapo vilabu mbalimbali vya jogging vilishiriki. PICHANI: Sehemu ya Wananamanga Sports Club wakijipongeza katika makao Makuu ya Klabu hiyo, yaliyopo Leecar's Pub Barabara ya Kimweri eneo la Msasani Makangira jijini.Picha/John Badi

Uncle Hafidh akijifua kwa sebene lililokuwa likiporomoshwa klabuni hapo.

Vale naye akisebeneka.

No comments: