Tangazo

June 22, 2012

Msanii chipukizi wa Bongofleva, DS na Biko waja na 'Twende Kijijini'

DS akimshirikisha Biko kwa pamoja wakiwa wasanii chipukizi wa bongofleva nyanda za kaskazini wanakuja kitofauti zaidi kwani nyimbo hii ya twende kijijini inaashiria kuwa bongo fleva sio mambo ya mapenzi tu bali hata ujumbe unaweza kuhusishwa mana humu DS anazungumzia maisha ya mjini namna yanavokuwa magumu nyakati zingine hata kula ni utata hivyo kupelekea maisha kuwa mateso na ya kuuza sura tu!support ni kitu muhim tunashkuru media zote.

No comments: