Tangazo

September 3, 2012

Mashindano ya Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012 yatimua mbuzi jijini.

Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina la ‘The aetna Grand National’ katika mashindano ya  Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Meneja Biashara wa Shirika la Ndege la Uingereza  (BA) nchini, Saada Juma (kulia) akikabidhi tiketi ya kwenda na kurudi London Uingereza kwa, Emma Leclercq, aliyeibuka mshindi wa bahati nasibu katika mashindano ya  Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina la ‘The BG Billy Goat Gallop’ wakati wa  mashindano ya  Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina la ‘The Coca-Cola Open Happiness Sweepstake’ katika mashindano ya  Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina la ‘The Marvelous Mantra Mile’ katika mashindano ya  Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina la ‘The Southern Sun Fillies Frolic’ wakati wa mashindano ya  Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Wadhamini wa mbio za ‘The KiliTime Stake’ kutoka kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakipozi kwa picha na mbuzi aliyeibuka kidedea katika mshindano ya Mbuzi ya Hisani Dar es Salaam 2012, katika viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kutoka kushoto; Meneja Wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe, Kelvin
O’Flahetry, Mkurugenzi wa Fedha na Kushilla Thomas, Mkurugenzi wa Masoko.

No comments: