Tangazo

November 9, 2012

Rais Kikwete awasili Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea mjinji Dodoma ambapo ataongoza mkutano Mkuu wa CCM.

Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo mchana. (picha na Freddy Maro)

No comments: