Tangazo

May 20, 2014

SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI ... ADAMU PHILLIP KUAMBIANA

Simanzi, vilio vyatawala wakati wa kuuaga mwili wa msanii wa Filamu nchini katika Viwanja vya Leeders Club jijini Dar es Salaam Leo Mei 20.2014. PICHA ZOTE KWA HISANI YA MICHUZI BLOG

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (wa pili kulia), akiwasili kwenye tukio huku akiongozwa na Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (kulia).
Mwili wa Adam P. Kuambiana ukiwa umewekwa kwenye Jeneza tayari kwa kuagwa, katika viwanja vya Leaders Club mchana wa leo.

No comments: