Tangazo

September 19, 2011

Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

Mwalimu kutoka Chuo cha VETA Moshi, Erasto Mosha akitoa maelezo huku akiwa ameshikulia kifaa cha kutambua gesi haribifu kwa Mazingira na Tabaka la Ozoni katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yaliyofanyika kitaifa jijini Arusha Mwishoni mwa wiki.  (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: