Tangazo

September 19, 2011

Waziri Mkuu Pinda amtembelea Mama Maria Nyerere - Butiama

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama  jana Septemba 18, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: