Tangazo

September 28, 2011

WANAZUONI WA KIISLAM WATOA TAMKO KUHUSU SAKATA LA MKUU WA WILAYA YA IGUNGA



Katibu wa Sekretarieti ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay- Atul Ulamaa), Sheikh Sherally Huseein (kushoto) akitoa tamko kwa waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana kuhusu wafuasi wa Chama cha CHADEMA kukaidi kuomba radhi kwa umma wa Kiislamu kufuatia tukio la udhalilishaji kwa kumvua Hijjab Mkuu wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Mama Fatma Kimario hapo Septemba 15 mwaka huu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Hay- Atul Ulamaa Tanzania, Sheikh Mohammad Issa. PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA - MAELEZO

No comments: