Tangazo

September 28, 2011

Warsha ya Mkakati wa Mabadiliko ya Tabianchi na Jinsia yafanyika Dar.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Ngosi Mwihava (kulia), akisalimiana na Mshauri Muelekezi Taasisi ya IUCU, Bw Francois Rogers mara baada ya kufungua Warsha ya Mkakati wa Mabadiliko ya Tabianchi na Jinsia jijini Dar es Salaam. Kulia Msaidizi Mshauri Mwelekezi wa IUCU, Bi Lorena Aguilar. PICHA/ALI MEJA 

No comments: