Tangazo

February 7, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Sumbawanga Mjini  Khalfan Aeshi wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Februari 7,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa Magalle Shibuda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: