Tangazo

April 23, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule  ya Msingi ya   Eckernforde  ya Tanga kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma , Aprili 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na  wanafunzi wa shule ya Msingi ya Eckernforde ya Tanga kwenye viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma  Aprili 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Bunge  Mjini Dodoma, Aprili 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: