Tangazo

April 24, 2012

Rais Kikwete katika Mazishi ya Rais Bingu wa Mutharika

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Marehemu Rais wa Malawi Bingu Wa Mutharika, Bi Calista Mutharika wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Ndata,Wilayani Thyolo, nje ya jiji la Blantyire, Malawi Aprili 23.12.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika,wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Ndata,wilayni Thyolo. (Picha na Freddy Maro)

No comments: