Tangazo

April 23, 2012

Rais wa Zanzibar Dk. Shein akutana na Wajumbe wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar leo Aprili 23.12.[Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.]

No comments: