Tangazo

June 19, 2012

JAJI WARIOBA AONGEA NA WAANDISHI KUHUSU KAZI ZA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa kazi za Tume hiyo leo (Jumanne, Juni 19, 2012) katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. Kulia kwa Jaji Warioba ni Dkt. Salim Ahmed Salim, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume hiyo.PICHA KWA HISANI YA OMEGA NGOLE

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Joseph Warioba wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa kazi za Tume hiyo leo (Jumanne, Juni 19, 2012) katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.

Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Joseph Warioba wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa kazi za Tume hiyo leo (Jumanne, Juni 19, 2012) katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.

No comments: