Tangazo

June 14, 2012

Maafisa wa UN wachangia Damu

Mtangazaji wa Radio France International (RFI Kiswahili), Emmanuel Makundi akifanya mahojiano na  Bw. Hashim Mahige wakati wa zoezi kuchangia damu lililofanyika katika Ofisi za Shirika la Afya Duniani (WHO) jijini Dar es Salaam ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani.

Charles Lutandula wa WHO akifanyiwa vipimo vya awali na Mtaalamu kutoka mpango wa Taifa wa Damu Salama Bi. Edith Senga kabla ya kuchangia damu.

Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John Ozga akifanyiwa vipimo na  Bw. Deochris Kaimukilwa baada ya kujitolea damu.

Ramadhani Ndimba kutoka NASP .

No comments: