Tangazo

June 18, 2012

MIAKA 200 YA CITIBANK KATIKA PICHA

Jumamosi Juni 16.2012 Wafanyakazi wa Citibank na wale waliowahi kufanyakazi katika benki hiyo, waliungana pamoja na kusherehekea Miaka 200 ya Citibank katika tafrija iliyofanyika katika Viwanja vya Hellenic Club jijini Dar es Salaam. Ufuatao ni mtiririko wa baadhi ya matukio mbalimbali yaliyojiri siku hiyo. PICHA ZOTE NA JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG

Bi. Coreta ndiye alikuwa msemachochote 'MC'.























No comments: