Tangazo

June 18, 2012

'Vibaka' wezi ya simu wanusurika Kifo kutoka kwa Wananchi wenye Hasira




Wananchi wenye hasira wakiwaadhibu vijana wawili waliotuhumiwa kumuibia simu ya mkononi binti mmoja (hayupo pichani), katika eneo la Namanga Madukani jijini Dar es Salaam hivi karibuni. PICHA ZOTE NA DAILY MITIKASI BLOG

Msamaria mwema aliyetambulika kwa jina moja la Lincon (kushoto), aliwanusuru vibaka hao kutoka kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali na kuwaongoza hadi Kituo cha Polisi cha Oysterbay.

No comments: