Tangazo

March 15, 2013

LIGI KUU YA GRAND MALT ZANZIBAR

 Mchezaji Rashid Omar wa Bandari (kulia) akichuana na Rajabu Mlindwa wa Falcon, wakati wa pambano wa Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari iliisambaratisha Falcon mabao 2 - 0. PICHA ZOTE/MARTIN KABEMBA

Rajabu Mlindwa wa Falcon (kushoto) akijaribu kumpita Rashid Omar wa Bandari.

Mohamed Hassan wa Bandari (kushoto) akituliza mpira mbele ya Ali Suleiman wa Falcon.

No comments: