Tangazo

March 15, 2013

SALAMU KUTOKA NKOROMO BLOG

Wadau wa Nkoromo Blog, bila shaka mtakuwa mmegundua kwamba tangu Machi 11, 2013, Blogu hii haina kitu kipya, hii ni kutokana na kuwa Mtayarishaji Mkuu Ndugu Bashir Nkoromo, yupo Nchini China kikazi ambako kutokana na sheria za nchi hiyo wamezuia mitandao yote ya Kijamii ikiwemo Blogs, Twitter nk. kupatikana kwenye Interneti nchini mwao.

Natumia fursa hii kuwaomba radhi ndugu wadau kwa hilo. Lakini Nitakaporejea Dar es Salaam, jiandae kwa kupata matukio kibao kutoka huku.

ASANTENI

No comments: