Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Chifu Edward Wanzagi wa
kabila la Wazanaki (kati) pamoja na Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe Makongoro
Nyerere baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga
na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni
jijini Dar es salaam leo April 28, 2015. PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment