Tangazo

November 9, 2012

TBL YAWA KINARA WA ULIPAJI KODI TANZANIA

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal  (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mlipakodi bora wa kwanza katika sekta ya uzalishaji viwandani, Mkurugenzi Mawasiliano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Steven Kilindo kwenye hafla ya sita ya Siku ya Mlipa Kodi, Dar es Salaam.

 Waziri wa Fedha, Dk.William Mngimwa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Mawasiliano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo, cheti cha kutambua ushindi huo.

 Steve Kilindo akiondoka jukwaa kuu akiwa na tuzo za kampuni yake.

 Steve Kilindo akiwa pamoja na wadau wenzie.


 Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dk Bilal na viongozi wengine.

No comments: