Tangazo

January 26, 2015

MKUTANO UZINDUZI SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM


Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.[Picha na Ikulu.]

Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.[Picha na Ikulu.] 

No comments: