Mlezi wa Chama cha Wanamuziki wa nyimbo za Injili, Martha Mlata (kushoto) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kutokana na kutambua mchango wake katika kupambana na wezi wa kazi za wasanii katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni wasanii wa nyimbo za injili. (Picha na Francis Dande). |
No comments:
Post a Comment