Tangazo

August 23, 2013

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUGABE WA ZIMBABWE JIJINI HARARE


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wengine jukwaa kuu  uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013.
 Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwasili  katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe  Agosti 22, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zambia Dkt Kenneth Kaunda  katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Mugabe   Agosti 22, 2013.
Rais wa Zimbabwe Mhe Robert Gabriel Mugabe akila kiapo katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa kwake Agosti 22, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Robert Gabriel Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais huyo Agosti 22, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Robert Gabriel Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais huyo Agosti 22, 2013.
 Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiwapongeza Rais Robert Gabriel Mugabe na mkewe 

No comments: