Tangazo

February 11, 2015

MSHINDI WA GARI TOYOTA IST MWAJABU OMARY ATEMBELEA CLOUDS MEDIA

Mshindi wa gari aina ya TOYOTA IST kupitia promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Bi Mwajabu Omary (akiwa na gari yake ya ushindi) akiongea na Mtangazaji maarufu wa clouds FM mara baada ya kutembelea ofisi za clouds FM akiwa na gari yake ya ushindi kwaajili ya kuwathibitishia watanzania kuwa amekabidhiwa gari yake. Airtel inatoa magari 60 kupitia promosheni yake ya Yatosha zaidi ili mteja aiungie katika droo anatakiwa kujiunga na kifurushi cha yatosha kwa kupiga *149*99#. 

No comments: